News

Afya ya Askofu Ruwaichi yaimarika

Aveline Kitomary, Dar es Salaam

Hali ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Katoliki Dar es salaam, Mhashamu Yuda Ruwaichi inaendelea kuimarika baada ya kufanyiwa upasuaji wa ubongo jana.

Daktari Bingwa wa Ubongo, Uti wa Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Profesa Joseph Kahamba anasema Askofu Ruwaichi alikutwa na tatizo la damu kuvuja kwenye ubongo linaloitwa Chronic Subdural Haematoma.

“Aliletwa alikuwa tayari alifanyiwa upasuaji KCMC wao waliona anahitaji matibabu zaidi hivyo alivyo kuja alifanyiwa upasuaji na madaktari bingwa watatu.

“Hata hivyo timu ya wahudumu wa afya saba wako wanampatia matibabu lakini mpaka sasa hali yake inaendelea vizuri,anajitambua, anaongea na pia anaeleza hivyo kwa ujumla hali yake inaendelea vizuri,” amesema Profesa Kahamba.

Aveline Kitomary, Dar es Salaam

Hali ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Katoliki Dar es salaam, Mhashamu Yuda Ruwaichi inaendelea kuimarika baada ya kufanyiwa upasuaji wa ubongo jana.

Daktari Bingwa wa Ubongo, Uti wa Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Profesa Joseph Kahamba anasema Askofu Ruwaichi alikutwa na tatizo la damu kuvuja kwenye ubongo linaloitwa Chronic Subdural Haematoma.

“Aliletwa alikuwa tayari alifanyiwa upasuaji KCMC wao waliona anahitaji matibabu zaidi hivyo alivyo kuja alifanyiwa upasuaji na madaktari bingwa watatu.

“Hata hivyo timu ya wahudumu wa afya saba wako wanampatia matibabu lakini mpaka sasa hali yake inaendelea vizuri,anajitambua, anaongea na pia anaeleza hivyo kwa ujumla hali yake inaendelea vizuri,” amesema Profesa Kahamba.Source link

Related posts

Upinzani waibua upya sakata uuzaji nyumba za Serikali

African Digest

Alichokisema Rais Magufuli ajali ya lori la mafuta Morogoro

African Digest

Watano wafa ajalini wilayani Rufiji lori likiteketea kwa moto

African Digest

DC Nkasi awakutanisha wasomi, waanzisha Kiwanda cha Chaki

African Digest

Photo of 2 Drowned Migrants Sparks Public Outcry | Magazeti ya Tanzania – Tanzania Newspapers

African Digest

Ebola case reported near South Sudan border: health official

African Digest